IJUE THAMANI YA ASALI, NI CHAKULA,UREMBO NA NI DAWA

Asali imekua sehem kubwa ya maisha yangu tangu nikiwa mtoto wa miaka kumi,baada ya mama yangu kuhamishia nguvu yake ya ujasiriamali kwenye ufungaji na uuzaji wa asali.Mama alitumia asali kufanya mambo mengi sana,na kama watoto tuliamini asali ni dawaya kila kitu.

Kama watoto tulikua sehem ya kazi ya mama,hivyo tulimsaidia pale alipotuitaji.Kwa  zaidi ya miaka 20 nimefanya kazi ya asali na mama yangu na nimejifunza mengi sana juu ya asali kutoka kwake.Asali ni chakula ambacho kimekuwepo kwa miaka mingi sana,Tangu enzi za mababu zetu ,na hata kabla ya kuja kwa YESU KRISTO.

Bibilia inathibitisha uwepo wa asali kabla ya kuja kwa YESU pale MUNGU alipowaaidi wana wa izraelinchi yenye maziwa na Asali.

Michoro iliyopatikana kwenye mapango ya watu wa kale.Uthibitisho kwamba walirina asali.

Nachagua kuamini kwamba Unaifaham asali.Asali ni chakula kitamu.kinachotengenezwa na nyukikwa kukusanya  nectar kutoka kwenye mauwa.Asali inaweza kaa miaka mingi sana bila kuharibika,asilimi kubwa ya wadudu waaribifu hawawezi kukua ndani ya asali kwani inakiasi kidogo sana cha maji  yaani 0.6(WATER ACTIVITY).Tone lolote la maji au mate linapoingia kwenye asali huongeza uwezakano wa kuaribika kwa asali hiyo na kufupisha maisha ya asali.

Kwa ufupi naweza sema maji ni adui mkubwa wa asali.Aina na ubora wa asali hutofautiana kutokana na aina ya nyuki walioitengeneza asali hiyo pomoja na aina ya maua ambayo nyuki wamenyonya nectar yake,rangi za asali pia hutofautiana kwa misingi hiyo hiyo.

Aina mbalimbali za asali.

Apa nchini Tanzania kuna aina kuu mbili za asali,asali ya nyuki wakubwa na asali ya nyuki wadogo.Asali ya nyuki wakubwa hupatikana kwa wingi zaidi kuliko yanyuko wadogo,Lakini asali ya nyuki wadogo huuzwa bei ghali zaidi ya asali ya nyuki wakubwa kwani ilithibitika kwamba asali ya nyuki wadogo inatengenezwa kutoka kwenye nectar ya mauwa ambayo miti yake inausali wa dawa.Miti hiyoni kama Mlonge,mwarubaini,rosellana mingine mingi.

Asali ni chakula kinacho tumika kwa mambo mengi sana,unaweza itumia badala ya sukari kwenye vinywaji,kuipakaa kwenye mkate,na kuitumia kama kionjo kwenye vyakula mapishi mbali mbali,pia hutumika kutengeneza urembo wa aina mbalimbali kama mafuta na sabuni na vingine vingi,liakini zaidi ya yote asali hutumika kama dawa.

Ni vyema kujua kwamba asali mbichi(ambayo haijapitishwa kwenye moto)ni nzuri kuliko ile iliyopitishwa kwenye moto,Kwani pale asali inapopitishwa kwenye moto baadhi ya enzymes hufa na virutubisho vingine hupotea.Mara nyingi asali hupitishwa kwenye moto ili kuiyeyusha hasa pale inapotakiwa kuchujwa.

ASALI KAMA DAWA.
Asali kama dawa inaweza kutibu matatizo mbalimbali,kumbuka tu tunaongelea asali ambayo haijachanganywa na kitu chochote.

For skin rashes, burns and abrasions.
Apply a small amount of raw honey lightly over the affected area; may cover with a dressing or a dusting of cornstarch to reduce any stickiness.The ultimate moisturizer.Smooth a small amount of raw honey lightly over the skin; easily remove later with splashes of cold water or comfortable warm water. Leaves skin baby soft.

As a bath and antibacterial soap.
Wash with raw honey straight from the jar and enjoy sparkling clean skin. Facial blemishes and acne caused by cosmetics or allergies will clear up quickly using a nightly treatment of RRH. A small amount needed.

For hair and scalp treatment.

Apply Really Raw Honey (with or without olive oil) to dry or damp hair about one half hour before washing–you’ll be amazed at your “crowning glory”.

For dental care and mouth sores.

Cleans teeth, mouth and dentures and stops bleeding gums. Canker sores, blisters and mouth ulcers respond to application of raw honey.

An astounding natural preservative.

Unprocessed honey found in ancient tombs was determined to be edible and was even used to preserve bodies.
Keeps foods fresh and moist longer and retards spoilage.

For healing ulcers and burns.

Also many years ago, a study by Robert Bloomfield,published in the Journal of the American Medical Association, reports “Applied every2 to 3 days under a dry dressing, honey promotes healing of ulcers and burns better than any other local application.

It can also be applied to other surface wounds, including cuts and abrasions…”

Honey has anti-cancer properties.

Recent studies by Gribel and Pashinskii indicated that honey possessed moderate antitumor and pronounced anti-metastatic effects in five different strains of rat and mouse tumors.

Further more, honey potentiated the antitumor activity of chemotherapeutic drugs such as 5-fluorouracil and cyclophosphamide. — Gribel, N.V., and Pashinskii, V.G.Antitumor properties of honey. Vopr. Onkol., 36:704-709, 1990.C.V. Rao at the American Health Foundation in Valhalla, New York found caffeic acids in propolis are inhibitors of colon cancers in animals.

Other research shows hive products have the ability to preventand halt the spread of malignant diseases. Earlier research by M.T. Huang also published in Cancer Research found caffeic acids effective in inhibiting skin cancer tumors in mice.

Ushauri;
Ni vyema ukawa na asali nyumbani kwa ajili ya matumizi mbalimbali.Kwa matumizi ya asali kama dawa,nashauri asali mbichi ya nyuki wadogo.Najua ni ngumu kujuakama asali mbichi au imepitishwa kwenye moto,Hivyo nashauri utumie asali ya FANO 2010.

Asali za Fano 2010(Golden Lulu) Asali za FANO 2010 zinapatika Thanks God supermarket,eneo la sinza madukani.nashauri asali hii kwani ndio asali ninayotumia na ninakuhakikishia kuwa ni asali mbichi,na zaidi ya yote niliwai tembelea workshop ya FANO 2010 na kuona jinsi wanavyochuja asali,Ndio maana ninanguvu ya kushauri utumie asali hio.

ONYO.
Asali si nzuri kwa watoto wadogo wenye umri wa kati ya siku moja hadi miaka miwili,kwani wakati mwingine asali huwa na endosporeswa bacterium  clostridium botulinum.Endospores hizo  zinaweza kubadilika kua aina ya bacteria wanatoa sumu. Bacteria hawa hushambulia utumbo mwembamba wa mtoto ambao haujakomaa  na hivyo  huweza msababishia mtoto kuumwa na  hata kifo.Akina mama msikose chupa ya asalijikoni,kwani ajali za kuungua ni kawaida jikoni na asali ni dawa nzurisana,Ukiungua kitu cha kwanza kabisa pakaa asali nyingi kwenye eneo uliloungua.. Nimalizie kwa kusema.Asali ikichanganywa na dawa zingine za asili au viungo fulani pia huwa dawaya magojwa mengi zaidi.Naamini makala hii imekufumbua macho na kukufanya uithamini asali.