Showing posts with label OTHERS. Show all posts
Showing posts with label OTHERS. Show all posts

MAANA YA HERUFI YA JINA LAKO LA KWANZA.

HERUFI A.
Mwenye jina linaloanziana na herufi A ni mtu anayependa mambo makubwa, anajiamini na mwenye uwezo wa kutimiza malengo yake. Ni mtu mwenye tahadhari, mchangamfu na mpenda matukio. Anapenda Kuheshimiwa, anapenda Mamlaka, na ana kiburi, na hasira.
Herufi A inawakilisha Nyota ya Punda,

HERUFI B.
Mwenye jina linaloanziana na herufi B ni mtu, mkarimu, muaminifu, na hupenda kazi. Ni Jasiri, shujaa na mkatili katika vita au pale anapotaka kulinda vilivyo katika himaya yake. Herufi B inawakilisha Nyota ya Ngombe,

HERUFI C.
Mwenye jina linaloanziana na herufi C ni mtu wa kukubadilika badilika, mshindani na hupenda kupigania malengo yao wanayopenda. Ni watu wa wabunifu na wanaopenda mawasiliano Herufi C inawakilisha Nyota ya Mapacha,

HERUFI D.
Mwenye jina linaloanziana na herufi D ni mtu anayependa usawa, Biashara. Ni watu wanaopenda kuamrisha na mwenye kupenda usafi. Ni jeuri na wenye msimamo. Herufi C inawakilisha Nyota ya Kaa,

HERUFI E.
Mwenye jina linaloanzia na herufi E ni mtu mwenye roho nzuri ,yenye mapenzi na huruma. mwenye kupenda uhuru katika mapenzi na mchangamfu. Kinyume na hivyo atakuwa ni mtu asiotegemewa na kigeugeu. Herufi E inawakilisha Nyota ya Simba,

HERUFI F.
Mwenye jina linaloanzia na herufi F ni mtu mwenye mapenzi,huruma , roho nzuri na ana uwezo wa kuwafariji watu. Ni mtetezi wa watu na mwenye huzuni lakini ni mzito wa kufanya maamuzi. Herufi F inawakilisha Nyota ya Mashuke,

HERUFI G.
Mwenye jina linaloanzia na herufi G ni mtu mwenye mwenye imani ya kidini na nguvu za kiroho. Ana kipaji cha kubuni na uwezo wa kutatua matatizo ya watu. ni mtu mwenye hisia kali,msomi, mpweke na mkaidi wa kukubaliushauri wa kutoka kwa watu. Herufi G inawakilisha Nyota ya Mizani,

HERUFI H.
Mwenye jina linaloanzia na herufi H ni mtu mwenye ubunifu na nguvu katika biashara, hupata faida kubwa kutokana na jitihada na bidii zake. ni mwenye mawazo mengi, mchoyo na mbinafsi. Herufi H inawakilisha Nyota ya Nge,

HERUFI I.
Mwenye jina linaloanzia na herufi I ni mtu mwenye kupenda sheria, ana huruma nautu. Wakati mwingi hajiamini na ni mwenye hasira za haraka.Herufi I inawakilisha Nyota ya Mshale,

HERUFI J.
Mwenye jina linaloanzia na herufi J ni mtu mwenye matamanio,mkweli, mkarimu na muerevu. asiyekubali kushindwa na hupata mafanikiomakubwa. Wakati mwingine anakuwa ni mtu mvivu na aliyekosa mwelekeo. Herufi J inawakilisha Nyota ya Mbuzi,

HERUFI K.
Mwenye jina linaloanzia na herufi K ni mtu mwenye jeuri. mwenye msimamo thabiti,mashuhuri na mwenye uwezo wa kushawishi na kuamsha hisia za watu wana uwezo wa utambuzi ambao watu wengi hawana. ni mtu asioridhika na hali ya kimaisha.Herufi K inawakilisha Nyota ya Ndoo,

HERUFI L.
Mwenye jina linaloanzia na herufi L ni mtu wa vitendo, mwenye hisani na aliyejipanga vizuri kimaisha. Huwa wanapata ajali mara kwa mara. Herufi L inawakilisha Nyota ya Samaki,

HERUFI M.
Mwenye jina linaloanzia na herufi M ni mtu mwenye kujiamini sana, mchapakazi na hupata mafanikio. ni mtu mropokaji,mwenye haraka na mwepesi kukasirika. Herufi M inawakilisha Nyota ya Punda.

HERUFI N.
Mwenye jina linaloanzia na herufi N ni mtu mwenye ubunifu, hisia kali na hupenda kuwasiliana lakini ana wivu sana. Herufi N inawakilisha Nyota ya Ngombe.

HERUFI O.
Mwenye jina linaloanzia na herufi O ni mtu mwenye subra,mvumilivu na mwenye bidii ya kusoma. Ni mtu mwenye kupenda kutumikia jamii na mwenye uwezo mkubwa wa kudhibiti hisia. Herufi O inawakilisha Nyota ya Mapacha.

HERUFI P.
Mwenye jina linaloanzia na herufi P ni mtu mwenye uwezowa kuamrisha na hekima kubwa. Ana nguvu za kiroho lakini anapenda sana kujitumbukiza kwenye mambo ya watu. Herufi P inawakilisha Nyota ya Kaa.

HERUFI Q.
Mwenye jina linaloanzia na herufi Q ni mtu mwenye kupenda mambo ya asili. Ni watu wasiyoelezeka nawana uwezo wa kuonyesha vitu visivyojulikana hata hivyo ni mtu aliyepooza sana. Herufi Q inawakilisha Nyota ya Simba.

HERUFI R.
Mwenye jina linaloanzia na herufi R ni mtu mwenye uvumilivu, wenye huruma lakini ana hasira za haraka. Muda wote anakuwa mpenda amani. Herufi R inawakilisha Nyota ya Mashuke.

HERUFI S.
Mwenye jina linaloanzia na herufi S ni mtu mwenye mvutomkali wa kuleta utajiri. Ni watuwenye maamuzi ya ghafla na hupenda mageuzi makubwa. Herufi S inawakilisha Nyota ya Mizani.

HERUFI T.
Mwenye jina linaloanzia na herufi T ni mtu mwenye kupenda ushauri wa kiroho, anatumia nguvu za ziada kusaidia watu na hupata mafanikio baada ya muda mrefu. Ni watu wenye hisia kalisana na ni wepesi kushawishika. Herufi S inawakilisha Nyota ya Nge.

HERUFI U.
Mwenye jina linaloanzia na herufi U ni mtu mwenye bahatikubwa kwa ujumla. Anapenda uhuru katika mapenzi. Lakini nimtu mbinafsi, mwenye tamaa na aliyekosa maamuzi. Herufi U inawakilisha Nyota ya Mshale.

HERUFI V.
Mwenye jina linaloanzia na herufi V ni mtu Mchapakazi, wenye bidii na asie choka. Hatahivyo ni watu wasiotabirika. Herufi U inawakilisha Nyota ya Mbuzi.

HERUFI W.
Mwenye jina linaloanzia na herufi W ni mtu muwazi, wachangamfuu kupita kiasi na mwenye uwezo wa kutambua mtu mwema na mbaya. Ni watu wenye tamaa na hufanya mambo ya hatari. Herufi W inawakilisha Nyota ya Ndoo.

HERUFI X.
Mwenye jina linaloanzia na herufi X ni mtu asiyependa kuwekewa vizuizi katika kwenye anasa na ni rahisi kujiingiza kwenye uzinzi na kujitoa uaminifu. Herufi X inawakilisha Nyota ya Samaki.

HERUFI Y.
Mwenye jina linaloanzia na herufi Y ni mtu mwenye kupenda Uhuru na hawapendi kupingwa jambo lao lolote. Ni watu wanaokosa uamuzi na husababishia kupoteza bahati katika maisha. Herufi Y inawakilisha Nyota ya Punda.

HERUFI Z.
Mwenye jina linaloanzia na herufi Z ni mtu mwenye kupenda matumaini na amani. Ni wenye msimamo mkali ila wanashauriwa kufikiria kabla yakuamua jambo. Herufi Z inawakilisha Nyota ya Ng’ombe.

JUA MAANA YA NAMBA YAKO YA SIMU

Unapotaka kutafsiri namba yako ya simu tumia tarakimu nne za mwisho kwani hizi ndizo namba pekee ambazo ni tafauti na za watu wengine katika mtandao mmoja.
Jumlisha tarakimu hizo nne hadi ufikie jumla ya tarakimu moja (single digit) yaani jumla iwe kati ya 1 na 9.
Mfano:
kama namba yako ni 07xxxx1407.
Chukua 1407
kisha jumlisha 1+4+0+7=12.
kisha chukua 12;1+2=3.
Kwahiyo jumla yako inakuwa  "3"

JUMLA IKIWA 1.
Hii ni namba yenye nguvu sanana ni namba ya kiume, ambayo inakuza nguvu zako binafsi ambayo inakuwezesha pia kuwashawishi watu wengine. Tahadhari usiwe mbabe kwa watu. Hii pia ni namba nzuri sana kwa biashara na kazi lakinisio namba nzuri ya aliye mpweke kumtafuta mpenzi.

JUMLA IKIWA 2.
Hii ni namba ya mapenzi, ni namba nzuri kwa walio wapweke kutafuta wapenzi. Namba hii inaashiria hisia, mawasiliano ya kibusara na ushirikiano, pia ni namba nzuri ya biashara ya huduma na sio nzuri kwa madalali na watu wabishi.

JUMLA IKIWA 3.
Namba hii inaashiria ubunifu, ucheshi, hii ni namba nzuri kwawasanii, wanamziki na vijana. Namba hii haina muelekeo lakini ina mvuto na ni asilia. Ni namba nzuri sana kwa waandishi na watunzi wa nyimbo sio namba nzuri sana kwa watu wanaojituma sana na wenye malengo makubwa.

JUMLA IKIWA 4.
Hii ni namba thabiti, iliyostawi,yenye kutegemewa na kuaminika, namba hii ni nzuri sana hasa kwa ma Benki, makampuni ya Uhasibu, Sheria na makampuni au masharika mengine kama hayo ambayo yanahitajika kua waaminifu na sifa za kuaminika. Pia ni nambanzuri kwa familia kubwa na wala sio nzuri kwa watu walio wapweke (Singles) vinginevyo wawe ni wanasharia au wahasibu au Wafanya kazi za kibenki.

JUMLA IKIWA 5.
Namba hii inaashiria matukio na mabadiliko ni namba liyo tulia. Tegemea usioyatarajia ni namba nzuri ya kufanya mauzo pia ni namba nzuri kwa wasafiri wanaopenda uhuru wao. Sio namba nzuri kwa familia kwani inakosa hadhi ya heshima na kuwajibika na vile vile sio namba nzuri kwa wanaopenda kula hovyo au wategemezi wa aina yoyote.

JUMLA IKIWA 6.
Hii ni namba nzuri sana kwa familia kwani ni namba inayoashiria kujali, ulinzi na inaunganisha familia na kudumisha uhusiano wa kirafikina kifamilia. Sio namba nzuri walio wa pweke.

JUMLA IKIWA 7.
Strong and spiritual, this number is ideal for scholars and free thinkers. Also improves mental health and stability. Not a good number for business.

JUMLA IKIWA 8.
Hii ni namba nzuri sana kwa biashara yoyote. Namba hii huvuta pesa na utiifu. Pia n namba nzuri sana kwa wanaojituma sana katika kazi huboresha wadhifa wako na kipato chako katika.

JUMLA IKIWA 9.
Hii ni namba nzuri sana katika kazi au huduma za kiafya au taasisi zisizo za kibiashara. Hii ni namba yeye bahati kuliko namba zote kwani wakati mwingine huweza kukuletea kipato cha juu usichokitegemeasio namba namba nzuri kwa wale wenye matatizo ya kiafya.

JOSE CHAMELEON - TUBONGE Mp3

Download wimbo mpya wa Jose Chameleon ~ Tubonge Mp3 for Mobile Phones Only.....

CLICK HERE TO DOWNLOAD

MO MUSIC - BASI NENDA

Download na sikikiza wimbo wa mwanamuziki mpya tanzania toka "MWANZA" >>>MO MUZIK <<<
Basi nenda by Mo Musik

CLICK HERE TO DOWNLOAD

Shilole - Chuna Buzi

Download wimbo(Audio)Mpya ya shiliole a.k.a Shishi byb Chuna buzi Hapa....

DOWNLOAD AUDIO MP3 HAPA

Shetta ft Diamond - Kerewa

Download wimbo wa Shetta ft Diamond - Kerewa Hapa...
CLICK TO DOWNLOAD

New Music | Ben Pol ft Joh Makini - Unanichora

Download na Sikiliza wimbo mpya wa Remix ya Unanichora ya Ben Pol ft Joh Makini
DOWNLOAD HERE

BENEFITS OF CARROTS


1. Improved Vision Western culture's understanding of carrots being "good for the eyes" is one of the few we got right. Carrot sare rich in beta-carotene, which is converted into vitamin A in the liver. Vitamin A is transformed in the retina, to rhodopsin, a purple pigment necessary for night vision.Beta-carotene has also been shown to protect against macular degeneration and senile cataracts. A study found that people who eat the most beta-carotene had 40 percent lower risk of macular degeneration than those who consumed little.


2. Cancer Prevention Studies have shown carrots reduce the risk of lung cancer, breast cancer and colon cancer. Researchers have just discovered falcarinol and falcarindiol which they feel cause the anticancer properties.Falcarinol is a natural pesticide produced by the carrot that protects its roots from fungal diseases. Carrots are one of the only common sources of this compound. A study showed 1/3 lower cancer risk by carrot-eating mice.


3. Anti-AgingThe high level of beta-carotene actsas an antioxidant to cell damage done to the body through regular metabolism. It help slows down the aging of cells.


4. Healthy Glowing Skin(from the inside)Vitamin A and antioxidants protectsthe skin from sun damage. Deficiencies of vitamin A cause dryness to the skin, hair and nails. Vitamin A prevents premature wrinkling, acne, dry skin, pigmentation, blemishes, and uneven skin tone.


5. A Powerful Antiseptic Carrots are known by herbalists to prevent infection. They can be usedon cuts - shredded raw or boiled and mashed.


6. Beautiful Skin(from the outside)Carrots are used as an inexpensive and very convenient facial mask. Just mix grated carrot with a bit o fhoney. See the full recipe here:carrot face mask.


7. Prevent Heart Disease Studies show that diets high in carotenoids are associated with a lower risk of heart disease. Carrot shave not only beta-carotene but also alpha-carotene and lutein.The regular consumption of carrots also reduces cholesterol levels because the soluble fibers in carrots bind with bile acids.


8. Cleanse the Body Vitamin A assists the liver in flushing out the toxins from the body. It reduces the bile and fat in the liver. The fibers present in carrots help clean out the colon and hasten waste movement.


9. Healthy Teeth and Gums It's all in the crunch! Carrots clean your teeth and mouth. They scrape off plaque and food particles just like toothbrushes or toothpaste. Carrots stimulate gums and triggera lot of saliva, which being alkaline,balances out the acid-forming, cavity-forming bacteria. The minerals in carrots prevent tooth damage.


10. Prevent Stroke:From all the above benefits it is no surprise that in a Harvard University study, people who ate more than six carrots a week are less likely to suffer a stroke than those who ate only one carrot a month or less.




Fun Facts on Carrots


*Rabbits love to eat carrots but they shouldn't eat too much.Remember that a rabbit eating a single carrot is like us eating over20! They like the sweetness and carrots are good for their teeth and don't have white sugar but even too too many natural sugars will cause digestive problems anddiabetes. They probably would dobetter with the carrot tops. We would benefit from the tops also but probably won't eat them! *.Carrots are the second most popular type of vegetable after potatoes.


*The biggest carrot recorded is more than 19 pounds and the longest is over 19 feet!You can see them here:biggest carrot- but they aren't particularly pretty!


*There are over 100 species of carrots.Some are big. Some are small and they come in a variety of colors including:orange, purple, white, yellow, and red.


*English women in the 1600'softenwore carrot leaves in their hats in place of flowers or feathers.


*The name "carrot" comes from the Greek word "karoton."The beta-carotene that is found in carrots was actually named for the carrot itself!


*The average American eats about 12 pounds of carrots a year.That's only one cup per week. We could easily triple that with great benefits if we were also eating a variety of other vegetables.How To Eat Carrots The nutrition in carrots are tightly encased in protein sacs that have to be broken by heat (cooking) or mechanical action (grinding, juicing,proper chewing). Cooking the carrots in fat or oils, or pureeing or juicing them increases the availability of carotenoids by 600 percent.Fats help the absorption of carotenoids into the blood by 1000 percent as carotenoids are fat soluble.




Recipes with Carrots:


Carrots with A rame:Seaweed recipe for health.


Carrots with Orange:A surprising but delightful combination… and it's fast!


Chili Con Vege :Diana's version of chili filled with carrots.

USES FOR COCONUT OIL

1.In cooking as a great oil with a high smoke point. Great for baking, stir-frysor as a dairy free replacement to butter. 2.Taken supplementally for daily energy 3.As acoffee creamer when emulsified into coffee(The only way I’ll drink coffee) 4.On the skin as a basic lotion 5.Inhomemade lotion barsfor soft, smooth skin 6.Inhomemade deodorantordeodorant bars 7.As an eye-makeup remover 8.As a cloth diaper safe diaper cream (just rub on baby’s bottom) 9.In making your ownRemineralizing Toothpaste 10.To lighten age spots when rubbed directly on the skin 11.To prevent stretch marks during pregnancy 12.To support healthy thyroid function 13.Inhomemade Mayowithout the high PUFA vegetable oils 14.To helpincrease sun tolerance and avoid burning 15.As a naturally SPF 4 sunscreen 16.Inhomemade lotion recipes 17.To get rid of cradle cap on baby- just massage in to head, leave on fora few minutes and gently rinse with a warm wash cloth 18.Topically to kill yeast oryeast infections 19.As a delicious tropical massage oil 20.It’s high Lauric acid andMCFA content helps boost metaboism 21.A tiny dab rubbed on your hands and then through hair will help get rid of friz 22.As an intensive nighttime facial moisturizer 23.Mixed with equal parts sugar for asmoothing body scrub(use in the shower) 24.Rubbed on lips as a natural chap stick 25.Topically, can help skin heal faster after injury or infection 26.Directly on the perineum to help heal after birth 27.As an incredibly intensive natural conditioner- Rub into dry hair, put a shower cap on and leave for several hours 28.On feet to fight athlete’s foot or tor fungus 29.In place of Lanolin cream on nursing nipples to sooth irritation (also great forbaby!) 30.Can help sooth psoriasis or eczema 31.There is some evidencethatregular ingestion of coconut oil can help prevent or reverse Alzheimers 32.With apple cider vinegar as anatural treatment for lice that actually works 33.In naturalHomemade Sunscreen 34.In healthy brain boosting snack for kids likeCoconut Clusters 35.In a filling and energy boostingBrain Powder Smoothie 36.Rub coconut oil on the inside of your nose to help alleviate allergy symptoms 37.Nursing moms can take3-4 tablespoons a day (and Vitamin D) to increase milk supply and nutrients 38.There is some evidencethat coconut oil helps digestion and may even kill intestinal parasites or yeast 39.Mix a tablespoon with a tablespoon ofchia seedsfor an all-day energy boost (do NOT take this at night!) 40.Can help improve insulin levels41.Oil pulling with coconutoil and a drop of oregano oil helps improve gum health42.Can helpimprove cholesterol ratios43.Blend a tablespoon into hot tea to help speed recovery from cold or flu44.InHomemade Natural Bug-Off Lotion Bars45.As a replacement for vegetable oils in any recipe46.Better for high-temperature cooking than olive or vegetable oils47.Can help reduce appearance of varicoseveins48.After initial heat is gone, can help speed healing of sunburn49.Is an immediate sourceof energy when eaten and isn’t stored as fat50.As a natural personal lubricant that won’t disturb vaginal flora51.As a naturally antibacterial skin cream52.Innatural homemade diaper cream53.As a natural shave cream and after shave lotion54.When used consistentlyon skin it can help get rid of cellulite55.To season cast iron skillets56.It’s anti-inflammatory properties can help lessen arthritis57.Can reduce the itch of mosquito bites58.Can help resolve acne when used regularly59.Can be rubbed into scalp daily to stimulate hair growth60.I’ve used in kids ears tohelp speed ear infection healing61.On split ends to de-frizz62.A small amount can be rubbed into real leather to soften and condition (shiny leatheronly… test a small areafirst)63.By itself as a great tanning oil64.Mixed with salt to remove dry skin on feet65.Can help speed weight loss when consumed daily66.Can help improve sleep when taken daily67.Can be used to speed healing of fungal infections when taken internally and used externally68.A tablespoon melted into a cup of warm tea can help sooth a sore throat69.To help sooth the itch of chicken pox or poison ivy70.It has been shown to increase absorption of calcium andmagnesium71.Internally as part of theprotocol tohelp remineralize teeth72.Some evidence shows that the beneficial fats in coconut oil can help with depression and anxiety73.By itself as a natural deodorant74.By itself or with baking soda as a naturally whitening toothpaste75.For pets struggling with skin issues when used externally76.Some evidence suggests that the beneficial fats in coconut oil are helpful for those with Autism77.Inhomemade vapor rub78.As a safe cooking oil fordeep frying79.A tablespoon taken before each meal can help improve digestion80.Can be taken in warm ginger tea to sooth heartburn or nausea81.As a completely naturalbaby lotion82.On hands after doing dishes to avoid dry skin83.Mixed with catnip, rosemary, or mintessential oilsas a natural bug repellent84.Can be used on mom’s nipple and baby’s mouth to help treat thrush85.Many use it as an anti-aging facial moisturizer86.Use to makecoconut cream concentratefor a brain boosting snack87.Can be used internally and externally to speedrecovery from UTIs88.When taken regularly, it can help fight candida89.When taken regularly, it can boost hormone production90.Can relieve the pain of hemorrhoids when used topically91.Can boost circulation and help those who often feel cold92.On cuticles to help nailsgrow93.Rub into elbows daily to help alleviate dry, flaky elbows94.Add to smoothies to give them a nutritional boost95.Internally during pregnancy to help provide baby necessary fats for development (especially when taken with Fermented Cod Liver Oil)96.In any recipes where vegetable oils are used97.Whipped withshea butterfor a soothing body balm98.One reader swears by using coconut oil to treat yeast infection. She suggests soaking a tampon in it and inserting the tampon for a few hours.99.Naturally clears up coldsores100.Ingestingcoconut oildaily can help with allergy symptoms101.Ingestingcoconut oildaily can increase mental alertness

FAIDA YA KITUNGUU NA JUISI YAKE


Kitu kimoja napenda kukuhakikishia kuwa, unayoyasoma hapa kuhusu kitunguu, tayari yalishafanyiwa utatifi na kuthibitishwa na wataalamu waliobobea katika masuala ya vyakula tangu enzi za mababu zetu. Vile vile, watu wanaoamini lishe kama tiba na kutumia, matokeo yake siku zote huwa dhahiri na wako wengi wanaoweza kuthibitisha jinsi afya zao zilivyo imara leo tofauti na miaka kadhaa iliyopita kabla ya kugundua siriya chakula kama tiba.




JINSI YA KUTENGENEZA...


Kinachotakiwa ni kitunguu maji kimojacha ukubwa wa wastani ambacho utatengenezea juisi na kupata kiasi chaglasi moja saizi ya kati. Safisha kitunguu chako kwa kuondoa gamba lajuu kisha katakata vipande vidogo vidogo ili kurahisisha usagaji. Kuna njia mbili unazoweza kuzitumia kutengeneza juisi hiyo.




Ya kwanza ni ya kisasa ambapo unaweza kutumia 'blender' au 'juicer', kwa kuweka maji kidogo na kuanza kuisaga hadi kupata juisi.




Njia ya pili ni ya kiasili, ambapo utatumia kinu kidogo na maji kidogo kwa kutwangwa hadi kupata juisi. Ukimaliza kusaga (kwa njia utakayoitumia) kamua na ichuje juisi yako kwa kutumia chujio la kawaida ili kupata juisi pekee ya kitunguu na kuacha masalia ya maganda peke yake.


Mara baada ya kuiweka juisi yako kwenye glasi, HAKIKISHA UNAINYWA HAPO HAPO. Hairuhusiwi kuihifadhi au kuinywa baadaye, kwa sababu itapoteza virutubisho vyake muhimu. Kunywa glasi moja mara moja kwa sikuau mara mbili, ukiona tatizo lako ni kubwa. Fanya zoezi hilo la kundaa juisi na kuinywa kwa muda wa siku saba hadi 14.


Kama nilivyoeleza wiki jana, hali ya kuchafuka kwa tumbo na kujisikia vibaya baada ya kunywa, isikuogopeshe, baadaye utaizoea na utajisikia vizuri zaidi. Mbali ya kutibu tatizo la kusikia maumivu na kutokwa na damu wakati wa kwenda haja kubwa (Hemorrhoids au piles), juisi hiyo pia itatoa ahueni aukinga kubwa dhidi ya matatizo mengine ya kiafya yafuatayo: Pumu, mafua, magonjwa ya kuambukizwa na bakteria, matatizo ya kupumua kwa shida, kiungulia na kutapika. Itaongeza kinga ya mwili dhidi ya magonjwa nyemelezi, vile vile kwa kutafuna vitunguu vibichi na kukaanavyo mdomoni kwa sekunde kadhaa, kutaua bakteria wote wa kinywani na kutoa kinga dhidi ya kuoza kwa meno na kuondoa harufu mbaya. Ulaji wa vitunguu maji vibichi mara kwa mara, hulainisha damu na kuzuia kuganda ambako husababisha mishipa kuziba na kusababisha magonjwa ya moyo, ikiwemo presha ya kupanda.


Juisi ya kitunguu ni dawa mara moja yakuzuia kutapika, mtu anayetapika mfululizo akinywa juisi ya kitunguu, hupata nafuu haraka. Vile vile juisi hii ni dawa ya tumbo linalouma na hutoa kinga dhidi ya magonjwa ya uvimbe tumboni. Kama unasumbuliwa na chunusi, pakaajuisi ya kitunguu iliyochanganywa na asali sehemu yenye chunusi vitaondokana kukuacha na ngozi nyororo. Chukua kiasi kidogo cha juisi na kijiko kimoja kidogo cha asali changanya kisha pakaa. Juisi ya kitunguu pia ni dawa ya kutibu majeraha ya kuumwa na nyuki. Kama unapata maumivu wakati wa haja ndogo au unatoa mkojo mchafu sana, kunywa maji mengi yaliyochanganywa na juisi ya kitunguu kiasi kidogo, tatizolitakwisha. Juisi ya kitunguu ina virutubisho vyenye uwezo wa kudhibiti chembechembe hai za mwili zenye kansa na hivyo kuwa kinga nzuri dhidi ya ugonjwa wa saratani (cancer). Ulaji wa vitunguu au juisi pia hutoa ahueni kwa mgonjwa wa kifua kikuu.


Juisi iliyopashwa moto pia ni dawa ya sikio linalouma. Weka matone mawili tu kwa kila sikio linalouma. Juisi ya kitunguu pia ni dawa ya majeraha yatokanayo na moto. Ukiungua, pakaa juisi hiyo sehemu zilozoungua kwa nafuu ya haraka. Pia kitunguu ni dawa ya mbu, pondapondavitunguu, kisha jipakae sehemu za miguu na mikono - mbu hawatakugusa. Faida za kitunguu na juisi yake ziko nyingi na zote ni muhimu kwa ustawi wa afya zetu. Nakushauri kuanzia leo, kunywa juisi hiyo au kula kitunguu katika kila mlo kwa jili ya kutibu maradhi uliyonayo au kwa kuupa mwiliwako kinga imara, na kamwe hutajuta!

FAIDA YA NAZI..




coconut.jpg


Vyakula vimetufanya tuamini kuwa maradhi mengi hayana tiba.

Hiyo inathibitika wazi pale vyakula vinapotoa majibu ya tiba bila sisi wenyewe kujijua. Kwa mfano ni rahisi sana watu kula chakula wakashiba halafu wakawa hai na kusema dawa hii inafaa au dawa ile haifai na kusahau kukitaja chakula kama dawa ya msingi inayobeba mhimili mzima wa tiba zote.


Hii ndio sababu madaktari na wauguzi wanakuwa wakalikatika kuwasisitiza wagonjwa kula kablaya kupewa dawa. Katika ardhi ambayo binadamu hajafanya uharibifu wa mazingira, inaaminika kuwa pamelala tiba za magonjwa yote zikisubiri watu waje wazigundue. Miaka ya 1980 ugonjwa wa AIDS ulitokea kuua wanaume, wanawake na watoto duniani kote kwa kishindo kikubwa! Watu wengi wamekufa na wengi wataendelea kufa, kitu ambacho ni tishio ulimwenguni kote mpaka hivi sasa.


Wakati huo huo vyakula vimeendelea kuwa tiba na mhimili mkubwa kwa afya za waathirika wa magonjwa mbalimbali duniani kote huku gonjwa hili likizidi kuonyesha sura mbaya na ya kutisha zaidi kila kukicha. Zipo tiba nyingi ambazo binadamu anazipata toka kwenye vyakula anavyokula bila kujua kama anajitibu. Tena kwa bahati nzuri zaidi ni kuwa tibahizo pia zinapatikana bila gharama yoyote zaidi ya kula chakula, ukitofautisha na gharama za matibabu ya aina nyingine kama hospitali, dawa zakienyeji nk. Unatakiwa ujue unapokula chakula chochote huwa unajitibu maradhi fulani bila kujijua. Kwa mfano unaweza kujitibu makali ya AIDS Endapo utatumia vyakula hivi vilivyoorodheshwa hapo chini, pamoja na dawa toka hospitali. Namna ya kufanya:


Utahitaji;


1. Nazi. Yaweza kuwa nazi, mafuta ya nazi, tui la nazi, dafu n.k.


2. Chai mbichi isiyokaushwa.


3. Vyakula - mchanganyiko wa nafaka.


Nazi: Nazi imewahi kuthibitishwa kuwa na vitu muhimu vinavyoua virusi. Lauric Acidndiyo acid pekee kwa kuua virusi ambayo inapatikana toka katika nazi na pengine ni toka kwenye maziwa ya mamaake binadamu tu duniani kote. Je, Ni kweli Nazi inarutubisha afya? Acid hii ndiyo kitu pekee chenye uwezo wa kuua virusi na ni rahisi kugundua hilo kama utakuwa mtu mwenye kumbukumbu basi nakupa Uthibitisho katika maeneo matatu. Linganisha afya mbovu za awali za watu waliohamia Dar Es Salaam kama vile wasichana wa kazi za ndani, vijana wanaokuja kusoma au kuutafuta maisha n.k. wakitokea sehemu zisipopatikana nazi. Utamkuta mtu anakuwa hajiamini, haongei sana, mwoga, ngozi yake imejikunja-kunja, miguu imepasuka na pengine hata kitambi cha kwashakoo ni kawaida kwao.


Halafu angalia afya zao pale walipokula vyakula vilivyoungwa nazi kwa muda mfupi tu kama miezi mitatu tu wakiwa hapa Dar Es Salaam. Utagundua kuwa afya zao zilibadilika sana.Wananenepa, Mipasuko kwenye miguu inaondoka, Ngozi zinakuwa nyororo, kwashakoo inaondoka, wanakuwa sio waoga tena, wanaongea sana tena kwa kujiamini na kwa kusema yote ni kuwa wanachangamka kiafya. Kwa wale tuliosoma "Old schools" mtakumbuka tulisoma vitabu vingi vikiwemo Alfu lela Ulela ambavyo vilijumuisha Safari saba za Sindbad Baharia. Katika safari zake aliwahi kutekwa akiwa na wenzie saba baada yachombo chao kugonga mwamba na kuvunjika. Watekaji waliwafungia ndani na kuwalisha "wali ulioungwa nazi" ili wanenepe kisha wawachinje! Sindbad kwa kujua hilo hakula kiasi kikubwa na baada ya muda mfupi wenzie walinenepa sana na walichinjwa wakaliwa! Yeye alikuwa akikonda siku baada ya siku na kuwafanya maharamia hao kumfungulia atembee tembee awe huru ili aimarike kiafya na ndipo alipopata mwanya wa kutoroka….


Uthibitisho wa mwisho ni pale mtoto mchanga anapofiwa na mama yake basi huwa anaikosa lauric acid toka ziwa la mama na afya yake nadhani wote mmeshuhudia inavyoathirika. Kifupi ni kuwa anatakiwa pamoja na maziwa ya wanyama anayolishwa inatakiwa apate walau kijiko kimoja cha tui la nazi kila siku ili kuilinda afya yake isiporomoke. Hivyo kama wewe ni muathirika wa maradhi ya aina yoyote, basi tumia dawaza hospitali, halafu ili kuthibitisha hili jaribu kula vyakula vilivyoungwa nazi kwa kiasi kikubwa, au chakula kilichokaangwa kwa mafuta ya nazi, au jenga mazoea ya kutafuna nazi mbichi na pengine ni vizuri zaidi ukaacha tabia ya kunywa soda na kuanza kunywa maji ya madafu pale unaposikia kiu. Je Nazi yoyote inatibu? Kama kawaida ya uhusiano wa mmea na udongo ulivyo, zipo nazi ambazo ukizipeleka katika maabara utazikuta zina kiwango kikubwa cha lauric acid au ukakuta lauric acid ipo kidogo au pengine ukakuta nazi haina kabisa lauricacid kwa vile udongo ulipooteshwa nazi kuna kemikali ambazo zinasababisha udongo huo kuwa sio sahihi kuzalisha acid hiyo katika nazi. Kwa kutambua hilotafiti nyingi zimefanyika na nazi zenye dawa hapa duniani zipo japo chache na zinapatikana kwa kupiga simu no 0768 215 956 au email rotion@live.com


Pia mpaka sasa yapo makampuni ya kusindika nazi ambayo yanakamua nazi zenye lauric acid ya kutosha na kuuza kama dawa. Nazi hizo zimeingizwa nchini na ninazitumia kutoa tiba kwa waathirika na hakika zinapunguza idadi ya watu wenye afya mbovu. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa zilizowafikia wawekezaji wa ndani hasa katika sekta ya afya ambao ningeweza kushirikiana nao kuitafiti bidhaa hii nchini watu walena wapone. Je, Nazi zinapatikana? Upande wa pili wa shilingi una sura ya nazi kuwa bidhaa ya wenye nazo tu mara baada ya habari hii kuenea. Sasa Vile vile ni vema kwa wizara za kilimo na chakula pamoja na wizara ya afya kukaa chini na kuangalia namna ya kukabilianana changamoto hii ya kupungua kwa nazi masokoni pamoja na kupanda kwa bei ya bidhaa hiyo ambayo inaweza kufikia shilingi elfu tatu kwa nazi moja endapo theluthi moja tu ya watanzania wataamua kuitumia nazi kama dawa ya kurutubisha afya zao. Wakati naendelea kukuletea habari hii, ni vema ukaituma email hii kwa watu ishirini au wote katika address book yako ili tupunguze idadi ya watu wenye matatizo ya kiafya.


Tusifiche tiba maana kuwa na taifa lenye wagonjwa ni UMASIKINI.

IMPACTS OF ANIMAL PESTS

Impacts of pest animals


Pest animals have significant economic, environmental and social impacts.


They have the potential to adversely alter ecosystem function, reduce primary industry productivity and profitability, and threaten human and animal health.


Economic impacts


Pest animals reduce the viability of primary industries, which account for a significant proportion of Queensland´s export income.


The impacts of some animals are well documented; however, the true cost of pest animals to Queensland's economy is unknown and difficult to quantify.


Feral pigs alone have been estimated to reduce grain production by $12 million a year.


Wild dogs cost $33 million a year in livestock losses, diseases spread and control.


The cost of each mouse plague is estimated at$10-$20 million in lost agricultural production and $1.5 million in landowner and goverment control.


Negative economic impacts of pest animals include:


*. direct control and management costs


*. predation of livestock by wild dogs, foxes and feral pigs


*. competition for resources


*. destruction of natural resources through soil disturbance and removal of vegetation


*. destruction of pastures and crops


*. creation of general nuisance in urban and rural residential areas and associated management


*. reduction of nature-based tourism due to destruction of natural resources.


Many pest animals are susceptible to, and could act as carriers for, a range of exotic diseases including foot-and-mouth, African swine fever and rabies. If these diseases were to enter Australia they would affect livestock and humans, and the cost of control and managementwould be considerable.


Environmental impacts


Introduced pest animals place considerable pressure on native plants and animals. While some impacts have been well documented, the true impact of pest animals on Queensland's environment is unknown and difficult to quantify.


Negative environmental impacts include:


*. direct predation on native fauna - foxes and feral cats have been implicated in the decline orextinction of at least 17 native species


*. destruction of habitats and natural resources including reduction in water quality, increased soil erosion and land degradation, and destruction of native plants that provide food and shelter to native species


*. competition with native animals for food and shelter


*. poisoning of native animals and spreading disease - the decline of native predators has been attributed to poisoning from cane toads.


Some pest animals impact on specific habitats or species; others are more general and affect manyspecies, ecosystems and ecological and physical processes.


These impacts can lead to reduced populations ofnative species, a decline in the quality and quantity of their habitats, and ultimately the extinction of some native species.


Social impacts


The social impacts of pest animals are many and varied and can cost individuals and the government considerable sums of money.


Pest animals can create a general nuisance and interfere with the livability of an area, particularly in urban and rural residential areas.


Negative social impacts include:


*. potential and actual disease transmission


*. predation of, and attacks on, domestic poultry and small pets


*. creation of dangerous driving conditions - pest animals often wander onto roads, and locust swarms reduce visibility


*. reduction of the community's enjoyment of natural areas


*. general nuisance and disturbance in urban areas.

PESTICIDE

What Is A Pesticide?


A pesticide is a chemical used to prevent, destroy, or repel pests. Pests can be insects, mice and other animals, weeds, fungi, or microorganisms such asbacteria and viruses. Some examples of pests are termites causing damage to our homes, dandelions in the lawn, and fleas on our dogs and cats. Pesticides also are used to kill organisms that can cause diseases.


Most pesticides contain chemicals that can be harmful to people, animals, or the environment. For this reason the Office of Pesticide Programs of the Environmental Protection Agency regulates pesticides in the United Statesto protect public health and the environment.