New Music | SAUTI SOL FT ALIKIBA - UNCONDITIONALLY BAE




A long waited collabal between SAUTI SOL from KENYA and ALIKIBA from TANZANIA now out....Both Video and Audio...


CLICK BELOW TO DOWNLOAD AUDIO...
http://old.hulkshare.com/zx8vbhmc00sg
Via Hulkshare

http://cdn12.hulkshare.com/dev12/0/009/786/0009786271.fid/Sauti_Sol_ft_Alikiba_-_Unconditionally_BaeCeeloaded_com.mp3?key=ecce569b79e8d246ff0503f2c0ce44c6&dl=1
Via ChidyBoyMe

New Music | TEKNO - WHERE

Download New Song by tekno..- "where" audio Here ...
CLICK BELOW TO DOWNLOAD AUDIO
http://old.hulkshare.com/noa6ym3f02yo
 

AFYA | ZIJUE SABABU KWA NINI UTUMIE MAFUTA YA SAMAKI...

  ZIJUE SABABU 4 ZA KWA NINI UTUMIE MAFUTA YA SAMAKI.

Utafiti ulifanywa kwa nini wajapani hawaugui magonjwa ya kansa,kisukari na magonjwa ya moyo, ikaonekana kwamba wajapani wanatumia sana vyakula vya baharini ukilinganisha na watu wa magharibi wanaotumia mafuta na nyama.
Ukweli ni kwamba mafuta ya samaki yana omega 3 ambayo ni muhimu sana katika mwili wa mwanadamu.

AFYA | FAHAMU UKWELI KUHUSU ALOEVERA...

 FAHAMU UKWELI KUHUSU ALOVERA.

UTANGULIZI:
Matumizi ya mimea ya asili yamekuwa yakitumika miaka zaidi ya elfu tatu kabla Kristo(3000BC) , Kila kabila na taifa limekuwa likitumia mimea mbalimbali kwa ajili ya kujitibu na kuboresha afya. Inakadiriwa takribani 75% ya watu duniani wanatumia mitishamba kwa ajili ya kujitibu.
Utafiti wa hivi karibuni umeonesha kuwa ili kuzuia maradhi unapaswa;

TIPS | Jinsi ya Kuhifadhi na Kutumia Mfumo wa Android kwenye Kompyuta Yako

Android ni moja ya mfumo maarufu zaidi duniani wa kuongoza simu, ikiwa imeunganisha kampuni nyingi na kubwa sana za kutengeneza simu janja.

Simu janja kutoka Samsung, Sony, HTC, Huawei, Tecno, sasa hata baadhi ya Nokia au Blackberry zinatumia mfumo huu, japo kwa matoleo tofauti kulingana na uwezo wa simu..

Lakini ukubwa wa mfumo huu wa simu janja duniani, hakujazuia mfumo huu kuweza kuwekwa na kutumiwa katika Kompyuta za kawaida. Kuna namna tofauti za kutumia mfumo huu kwenye kompyuta, kama kutumia Kifaa Maalum Cha mfumo wa Android kwenye kompyuta yako, Kuweka mfumo wa uendeshaji (OS) wa adroid kwenye kompyuta yako au kutumia App maalum..

Hii ina maana kuwa, ukiwa na mfumo wa Android kwenye PC yako, utakuwa na uwezo wa ‘Kuinstall’ na kutumia App na Game zote zinazopatikana kwenye Playstore katika PC yako. Ndio. Tuangalie Njia moja baada ya nyingine upate maujanja zaid...


Kwa Kutumia App kama Vile BlueStacks

Njia hii ndio rahisi, na yenye faida zaidi kwa watumiaji wa kawaida.  Kutumia app kuendesha mfumo wa android kwenye PC yako ni rahisi kwa sababu unahusisha Mfumo wako unaotumia kwa wakati huo (Windows 7, 8, 8.1, au 10). App kubwa na inayofanya kazi vizuri zaidi ni BlueStack.

Ilianzishwa mwaka 2011 kwa ajili ya kuunganisha mfumo wa android kwenye PC yako. Ukiwa na BlueStack, mtumiaji unaweza kudownload App na Games mbalimbali kutoka PlayStore, au Amazon AppStore kusha kutumia App hizo katika PC yako..

BlueStack imerahisishwa sana kwa watumiaji, kwani unaweza kuinstall na kufanya mipangilio inayofanana kabisa na ile ya Simu janja yako. Picha kutoka Android Authority...


 Ukishusha mfumo wa BlueStack, utapata Toleo la 4.4.2 KitKat la Android. Japo ni matoleo mawili nyuma ya mfumo wa sasa, lakini kuna dalili za kuletwa Masasisho ya App hii maarufu sasa kwa watumiaji wa PC.

Japo ina kasoro zake, mfano kucheza baadhi ya michezo ya 3D, au baadhi ya michezo ya 1080p kwa kushindwa kuchezesha vivuli n.k. Lakini watumiaji wanafurahia huduma nyingine muhimu za App kama Whatsaap, Instagram na Games. Vyote vilivyo PlaStore. BlueStack pia inakuwezesha kuhamisha mafaili kama yale ya APK kutoka kwenye komputa kwenda kwenye simu ya Android.

Ni mfumo mzuri, na mrahisi kutumia kama ni mara ya kwanza kuanza ujanja huu. Unaweza ukaudownload kwenye PC yako kwa kubonyeza HAPA 


TIPS | Jinsi Ya Kufufua Mafaili Yaliyofutwa Katika Simu/Kompyuta


Ikiwa kwa makusudi au hata bahati mbaya umefuta data zako katika memori kadi ya simu yako, ‘hard drive’ au kifaa kingine, na baadae ukawa unazitaka tena, je unaweza zipata? Ndio unaweza zipata!. Unaweza pata tena data zako ulizofuta katika SD Card / Hard Disk Drive kwa msaada wa Asoftech software.

Asoftech ni programu ya kuzifufua data zilizofutwa ambayo ni ya bure kushusha na rahisi kutumia na pia ina ukubwa mdogo  (kama 4MB hivi) kwa msaada wa hii programu (software) utafufua mafaili yaliyofutwa kwenye vifaa vya uhifadhi wa data mbalimbali kama vile ‘pen drive, USB drive, external Hard Drive, memory card’ na sehemu zingine

Inabidi kuacha kutumia mafaili katika simu yako mara tuu unapotaka kufufua mafaili yaliyofutika katika SD Card  kwa sababu haitawezekana kufufua mafaili wakati mafaili mengine yanatumika muda huohuo katika simu.

Kitu kingine cha kuweka akilini ni kwamba hautawezekana kufufua mafaili kwa kutumia Asoftech kama utakua umefomati (Format) SD Card/Hard Drive  ya kifaa chako

FUATA NJIA HIZI KUFUFUA MAFAILI HAYO...

 1. Kwanza kabisa inabidi uishushe hiyo programu (Software) ya Asoftech HAPA

2. Baada ya kuishusha (download) fanya mpango wa kuipakua (install)….. itakuchukua muda kidogo tuu

3. Kutumia Asoftech inakubidi uwe ‘Administrator’ katika kompyuta yako, kama ni Admin nenda mpaka kwenye icon ya Asoftech ‘ Right Click’ kisha bofya ‘Run As Administrator‘.

New Music | DARASSA FT RICH MAVOKO - KAMA UTANIPENDA

CLICK BELOW TO DOWNLOAD AUDIO
old.hulkshare.com/nn82mn488ao0

WATCH VIDEO ONLINE BELOW...


New Music | NEY WA MITEGO - SHIKA ADABU YAKO


www.hulkshare.com/ChidyboyMe/nay wa mitego

New Music | SNURA - CHURA

CLICK BELOW TO DOWNLOAD AUDIO Via MKITO...

www.mkito.com/song/chura 

New Music | MIRROR FT BARAKA DA PRINCE - NAOGOPA

Sikiliza na DOWNLOAD Wimbo Mpya wa Mirror akimshirikisa Baraka Da Prince HAPA...


CLICK BELOW TO DOWNLOAD AUDIO....


New Music | EDDYKENZO FT PATORANKING - ROYAL

THE New Video of Eddykenzo ft Patoranking is now out.....
CLICK BELOW TO DOWNLOAD AUDIO...

News | MATOKEO YA KIDATO CHA NNE (FORM - FOUR) 2015

NECTA

Baada ya kusubili kwa muda mrefu sana finally Matokeo ya kidato cha NNE (Form 4) yametoka leo....
BOFYA HAPA kuongalia Matokeo 

New Music | SLIMSAL - TUMPIGIE MAKOFI

Download free mp3 Audio Here...
CLICK BELOW TO DOWNLOAD AUDIO


New Music | JUX X BEN POL - NAKUCHANA mp3 Audio

Download Wimbo Mpya wa JUX NA BEN POL - NAKUCHANA...AUDIO HAPA
Wimbo huu haukuachiliwa rasmi sababu ya tatizolililojitikeza baada ya mmoja ya wao kupoteza flash ambayo ilikuwa na wimbo huo na kusababisha wimbo kuvuja siku kadhaa kabla ya kuachiwa rasmi....

CLICK BELOW TO DOWNLOAD



New Music | NAVY KENZO - KAMATIA

Download Wimbo Mpya wa haika  pamoja na Nareel - KAMATIA....

CLICK BELOW TO DOWNLOAD AUDIO


New Music | AKA AND DIAMOND PLATINUMZ - MAKE ME SING.....

Be the 1st to Download and listen to AKA & DIAMOND PLATNUMZ New Hit song - MAKE ME SING mp3 Here...
CLICK BELOW TO DOWNLOAD AUDIO